Good to share with you happy people my restaurant  Tanzanian restaurant listed to number five best kati ya best 18 katika miji ya trollhattan na vanersborg toka June 2015 to June 2016 ubora upimwa kutokana na comment za wateja.
Pia natoa wito kwa chef's watanzania wenzangu kujiunga watsup group kwa kutuma ujumbe kwenda no+46709297384 ili uweze kuunganisha na ujumuike na chef's wengi tu wazawa tujenge umoja thabiti.
Chef Issa 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...