Mbunge wa Afrika Mashariki (EAC), Waziri wa Habari wa Zamani wa nchini Burundi na Mtangazaji Mstaafu wa BBC, Bi. Hafsa Mossi (pichani) ameuawa kwa kupigwa risasi mapema leo katika barabara ya Gihosha, eneo la Nyankoni, jijini Bujumbura, Burundi. Inaelezwa kuwa wauaji waliofanya tukio hilo walikuwa ndani ya gari na walimmiminia risasi kadhaa kifuani Mwanamama huyo na kutimka kuelekea kusikojulikana. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...