Hata mbuyu ulianza kama uyoga. Na Bw. Adam wa Adam Auto Garage ya mjini Tunduma mkoani Songwe  amedhihirisha hilo kwa kuunda helikopta inayotumia injini ya gari ambayo anasema anatarajia kuirusha siku Mwenge wa Uhuru utapofika mjini hapo. Picha za ubunifu huu zimesambaa kwenye mitandao ya jamii ila cha ajabu hakuna mamlaka iliyoshituka.
 Bw. Adam akipongezwa kwa ubunifu wake ambao mamlaka husika zinaombwa kwenda na kuangalia namna ya kutumia kipaji hiki cha aina yake kwa maendeleo ya Taifa
 Wananchi wakiishanga helikopta ya Adam Auto Garage mjini Tunduma
 Bw. Adam na timu yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2016

    The mdudu, Asante sana ndugu Adam hongera sana tena sana mimi nadhani wakati umefika sasa wa kutambua vipaji kama hivi serikali muwape support ili wazi tengeneze nyingi sana kisha wazisambaze kwenye mahosipital na police

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2016

    Ni wakati sasa usafiri huu uwe ni wa kawaida hapa nchimi. Kuwe na helikopta za Kibamba to Posta, Tegeta to Posta, Korogwe to Tanga, Segera to Chalinze ... ili kupunguza muda wa safari na kuondoa msongamano barabarani. Wajitokeze wawekezaji kuchukuwa fursa hii kwa kuwatumia vijana kama hawa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2016

    Huyu na yule wa holkopta ya arusha na wataalamu wa mifumo ya umeme..mafundi redio na ICT wakutane waone jinsi ya kuiboresha kwa kutumia teknolojia za kisasa. Hongera.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2016

    Ndugu Adam hongera. Tz INA wanasayansi wabunifu wengi trend inaonyesha tu. Everything is possible viongozi has a Mkuu Wa mkoa na wilaya mbeya where r you guys. You should be proud. Mbeya tech university join hands with this group. This is one shovel ready project to jump in and finance. Ahhh . Mr Adam post your phone number. I am from mbeya I will visit you.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2016

    How does the law protect this kind of innovation? it is time for the country to take these kind of innovation seriously. Hata wale watengeneza magobore ya kienyeji wachukuliwe na Jeshi kwa manufaa ya taifa.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mr Adam
    Uhakika taifa linahitaji watu kama nyie ilikuendeleza ukombozi wa taifa katika swali Zima la viwanda ili kufikia uchumi wa Kati
    Sasa ni wakati serikali iwashike mkono wa kama akina Adam kwa kuwa patia fedha, kuandaa mazingira rafiki, na kuwaongezea ujuzi ikiwezekana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...