Mtafiti wa kimataifa wa Sokwe mtu na Mwanaharakati wa haki za Wanyama,Dkt Jane Goodall akielekea katika msitu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa ajili ya mahojiano maalumu na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania.
Mtafiti Dkt Jane Goodall akichukua taswira mara baada ya kuona kundi la Wanahabari katika msitu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakimngojea.
Mtalii raia wa Colombia ,Sandra Renasco akihemewa na hisia kali kwa kuonana ana kwa ana na Dkt Jane Goodall mtu ambaye anamtaja kama Role Model wake. 

Bwana Michuzi samahani lakini 'kuhamaki' maana yake ni kukasirika, kwa hivyo hiyo picha hapo inaonyesha huyo mama akifurahia kumuona 'live' mtafiti huyo.
ReplyDelete