Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Binilith Mahenge (mwenye shati jeupe) akiwa ndani ya boti akivuka kutoka kijiji cha Mkenda Songea kwenda kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa.Boti hii aliyopanda ndio ambayo ilipinduka juzi na kusababisha watu tisa kufa maji kwenye MTO Ruvuma.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Binilith Mahenge(mwenye shati jeupe) akifariji waathirika wa mafuriko katika kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...