Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Kimataifa la Makani (USAID), Moses Busiga akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha maofisa watendaji wa Halmashauri mbili za Wilaya ya Kyerwa na Biharamulo mkoani Kagera kilichofanyika leo ikiwa ni kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za umma (PS3) Mkoani Kagera. Source:Father Kidevu Blog
 Kiongozi wa timu ya Uzinduzi wa Mradi wa PS3 Mkoani Kagera, Abdul Kitula akizungumza
Washiririki walikaa katika makundi na kuainisha wadau mbalimbali wa maendeleo walioko katika halmashauri zao na namna ambavyo wanashirikiana katika kuimarisha mifumo ya sekta za umma.
Wataalam wa masuala ya Utawala nao walishiriki kuhakikisha mambo yanaenda vizuri.
 Afisa Mipango wa Halamashauri ya Wilaya ya Kyerwa, Johansen Karugaba akiwasilisha taarifa ya Wilaya yake. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...