Mkuu Mkoa wa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge(mwenye koti la bluu) akitazama mpaka wa hifadhi ya msitu wa Luhekei wilaya ya Nyasa.Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba na aliyenyosha mkono ni Katibu Tawala Mkoa Hassan Bendeyeko.
Sehemu ya watujishi wa wilaya ya Mbinga wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipokuwa akiongea nao kwenye ukumbi wa Makita Mbinga
Mkuu wa wilaya ya Mbinga Cosmas Nshenye (aliyesimama) akitoa taarifa ya maendeleo ya wilaya ya Mbinga kwa Mkuu wa Mkoa Ruvuma Dkt.Binilith Mahenge wakati alipotembelea wilaya hiyo leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...