Mkuu wa Wilaya Ya Kasulu, Kanali Martin Mkisi akipokea madawati kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Oxfam hapa nchini, Jane Foster leo mjini Kasulu.
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Martin Mkisi akiwa wakiwa wamekaa na Mkurugenzi Mkaazi wa shirika la Oxfam hapa nchini (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Kasulu, Fatina Laay Kamara baada ya kukabidhiwa madawati mjini Kasulu leo.
Mkuu wa Wilaya Ya Kasulu, Kanali Martin Mkisi akizungumza mara baada ya kukabidhiwa madawati na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Oxfam hapa nchini Mjini Kasulu leo.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...