Mwili wa Mkazi wa Jiji la Mbeya aliefahamika kwa Majina "Koleta Kasoso" kabila "Mnyamwanga" aliekuwa akiishi katika Mji wake katika Kata ya Manga 'A' Jijini Mbeya Mkoa wa Mbeya, Amekutwa akiwa amefariki Dunia Asubuhi ya leo, chanzo cha Kifochake bado hakijafahamika bali alikutwa akiwa amedondoka chini karibu na Mlango wa Sebule yake.
Baadhi ya Majirani, Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika Simanzi na Huzuni.
Jeshi la Polisi lilifika pia katika Eneo la tukio na kuuchukuwa Mwili wa Marehemu kuajili ya upelelezi zadi.
Mwili wa Marehemu Ukipelekwa Mochwari.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...