Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akisikiliza maelezo juu ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zilizobuniwa na Wizara kupitia kwa wataalamu wa Idara ya Nyumba.
Mhe. Angelina Mabula akisaini kitabu cha Wageni alipotembelea banda la Wizara ya Ardhi katika maonyesho ya sabasaba 2016
Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akihojiwa na waandishi wa habari alipotembelea banda la Wizara katika viwanja vya sabasaba 2016
Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akiwa na baadhi ya washiriki katika banda la Wizara alipotembelea maonyesho ya sabasaba 2016
Afisa Ardhi, David Malisa akisikiliza wananchi waliofika katika katika banda la Wizara ya Ardhi ili kupata huduma mbalimbali pamoja na elimu ya masuala ya Ardhi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...