Julita N Mongi, mwanachama mpya wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, PSS, akionyesha kitambulisho chake cha uanachama alichokabidhiwa dakika 5 tu baada ya kujaza fomu. Huduma hiyo inatolewa kwenye banda la PSPF lililoko jengo la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa, viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 3, 2016. Wananchi wengi wamejitokeza kujiunga na Mfuko huo na kudhihirisha kuwa ni chaguo la wengi. (PICHA NA K-VIS MEDIA/KHALFAN SAID)
Julita akikabidhiwa kadi yake na Afisa Masoko wa PSPF, Magira Werema
Mstaafu ambaye kwa sasa ni Mkulima wa Turian, Mzee Gabriel E. Kiogwe (84), akijaza za kujiunga na mpango wa PSS.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...