Hizi ni Taswira za muonekano wa Barabara ya kutoka Mbeya kuelekea wilayani Chunya zikiwa ni zenye kuvutia kutokana na namna zilivyotengenezwa kwa ubora kabisa.
Barabara hiyo Mambo Safii kabisa kulinganisha na kipindi cha nyuma Bararabara hii ni Rami mpaka wilayani Chunya.
Taswira yenye kumeremeta na yenye kuonyesha Barabara iliyo katiza mbele kidogo ya Milima.
Bajaji nazo zinateleza tu, mambo safi sasa Chunya ni muda mfupi tu unafika.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...