Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa Tatu Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili kushoto) Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa Kwanza Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili kushoto)Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.  Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.  Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...