Waziri wa nchi Ofisi ya
Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama
(Mb) akipata maelezo ya ujumla kuhusu Mfuko wa Pensheni wa LAPF katika
maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa. Anayetoa maelezo ni Afisa Masoko
Mwandamizi wa Mfuko Bi. Rehema Mkamba.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye
Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mifumo ya
Kompyuta wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili kuhusu upatikanaji wa
taarifa za michango ya wanachama kupitia tovuti ya Mfuko www.lapf.or.tz na simu za viganjani
kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es
Salaam
Waziri wa nchi Ofisi ya
Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama
(Mb) akionyeshwa taarifa yake ya michango ya Hiari LAPF kwenye maonyesho ya
biashara ya 40 ya kimataifa jijini DSM. Anayemhudumia ni Afisa Mafao ya Mfuko
wa Pensheni wa LAPF Bi. Irene Michael.
Waziri wa nchi Ofisi ya
Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama
(Mb) akipata maelezo kuhusu shughuli za uwekezaji za Mfuko wa Pensheni wa LAPF
pamoja na mipango ya Mfuko kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, anayetoa
maelezo ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko Bw. James Mlowe.
Baadhi ya wanachama wa Mfuko
wa Pensheni wa LAPF kutoka Jeshi la Polisi wakipata maelezo mbalimbali ya Mfuko
kutoka kwa Afisa wa Mfuko Bw. Yohana Nyabili kwenye maonyesho ya biashara ya
kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini DSM.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...