Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Maraki wa Tanzania Girl Guides waliohudhuria katika sherehe ya kuwapokea washiriki wa Mradi wa YESS-Girl Guides iliyofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.
Mabinti walioshiriki Mradi wa Matembezi ya YESS- Girls hapa nchini wapili kulia ni Lydia Omondi kutoka Kenya, Florence Kwizera kutoka Burundi na Avengiline Du Toit kutoka Afrika kusini wakiwa na Girl Guide wa Tanzania wakitoa burudani katika sherehe ya kuwapokea washiriki wa Mradi wa YESS-irl Guide jijini Dar es Salaam.
Mabinti walioshiriki Mradi wa Matembezi ya YESS- Girls wakiwa katika picha ya Pamoja.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akimkabidhi Binti Rose Ipyana Mwambete aliyewakilisha Tanzania Girl Guide katika mradi wa YESS-Girls Movement 2016 huko Rwanda wakati wa sherehe iliyofanyika jijini Dar es Salaam.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...