Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mh Gerson Lwenge akipata maelezo mafupi ya huduma ya DAWASCO kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati alipotembelea banda la Shirika hilo leo. Maonyesho hayo yaliyofunguliwa mapema wiki hii na Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame na yanatarajia kufika kilele mwisho wa wiki hii ambapo kampuni zaidi ya 600 kutoka ndani na nje ya Nchi ya nchi zimeshiriki. (Picha na Robert Okanda)
Waziri Lwenge akipata maelezo ya upimaji wa ubora wa maji kutoka kwa Afisa Ubora wa Maji wa DAWASCO, Sinza Mongela alipotembea Banda la shuirika hilo leo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...