Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo ya ujumla kuhusu Mfuko wa Pensheni wa LAPF katika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa. Anayetoa maelezo ni Afisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko Bi. Rehema Mkamba.
 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mifumo ya Kompyta wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili kuhusu upatikanaji wa taarifa za michango ya wanachama kupitia tovuti ya Mfuko www.lapf.or.tz na simu za viganjani kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kuhusu shughuli za uwekezaji za Mfuko wa Pensheni wa LAPF pamoja na mipango ya Mfuko kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, anayetoa maelezo ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko Bw. James Mlowe.
 Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF kutoka Jeshi la Polisi wakipata maelezo mbalimbali ya Mfuko kutoka kwa Afisa wa Mfuko Bw. Yohana Nyabili kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Wanachama na wadau mbalimbali wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakipata maelezo mbalimbali kuhusu manufaa na huduma za Mfuko ikiwemo utaratibu wa kujiunga na kuweka akiba kwa hiari kwenye Mfuko. Anayetoa maelezo ni Afisa mafao wa Mfuko Bi. Judith Lupondo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...