Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996.
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo.
Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Source: Father Kidevu Blog.
Mwandaaji wa shindano la Miss Ilala 2016, Teddy Kitundu ambaye pia ni diwani wa viti Maalum Ilala, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa shindano hilo Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kulia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania , Bossco Majaliwa (kulia) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati hiyo, Albert Makoye. Miss Ilala inafanyika ikiwa ni mwaka wa 20 tangu lianze shindano hilo mwaka 1996. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...