Katibu tawala wa Manispaa ya Ilala, Mh.Edward Mpogolo(wa pili kutoka Kulia) akikata keki na Mwenyekiti wa TYVA, Nuria Mshare wakati wa maadhimisho ya miaka 16 ya taasisi ya Vijana ya TYVA iliyofanyika leo katika ukumbi wa British Council. wa kwanza kulia ni Afisa vijana wa Jiji la Dar es Salaam, Masalida Zephania Njashi na wa kwanza kutoka kushoto ni Zulekha Ibrahim. (Picha na Geofrey Adroph)
Pia mgeni rasmi alizindua kitabu cha mtazamo wa Vijana Bajeti ya mwaka wa fedha ya 2016/2017 kilichoandikwa na Taasisi la Vijana la TYVA pamoja na kuzindua Dokumentari ya Video ya Binti Jitambue.
Katibu tawala wa Manispaa ya Ilala, Mh. Edward Mpogolo akuzungumza na vijana wa shirika lisilo la kiserikali la TYVA waliofika katika maadhimisho ya miaka 16 ya shirika hilokatika ukumbi wa British Council leo jijini Dar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...