Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiangalia kwa furaha maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo unavyoendelea kwa kasi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya maeneo katika gorofa ya kwanza ya moja ya mabweni hayo katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hii ni kazi nzuri iendelee.
ReplyDeleteThe mdudu, Asante sana rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli kweli kabisa tenda za ujenzi zote wapewe wao na ikiwezekana pia wapewe na JKT yaani Jeshi la kujenga taifa ili wai badilishe Tanzania yetu kwa muda mfupi sana.
ReplyDelete