Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika
kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam, leo Septemba 24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM,
Christopher Ole Sendeka. (Picha na Bashir Nkoromo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...