Balozi
wa Kenya nchini Tazania Chirau Ally Mwakwere aliyemuwakilisha Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta akikabidhi msaada wa mablanketi 400 kwa Mkuu wa
Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salumu Kijuu kutoka Serikali ya Kenya kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera
Balozi wa Kenya akikabidhi magodoro 100 kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwaajili ya wahanga wa tetemeko Kagera.
Askari wa Kenya wakishusha msaada wa magodoro kwenye ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera.PICHA NA EDITHA KARLO GLOBU YA JAMII BUKOBA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...