Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa
wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye
waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.
Hayo
ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia
BBC kuwa wote wapo salama.Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa
Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.CHANZO BBC SWAHILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...