Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka kuangalia sehemu ya kupakulia mafuta kutoka kwenye meli katika bandari ya Dar es salaam leo akiwa ameongozana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na uongozi wa Bandari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini ya Tanzania International Container Terminal (TICTS) Bw. Donald Talawa alipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wafanyakazi wa bandari baada ya kutembelea bandari ya Dar es salaam leo Septemba 26, 2016.
usimtafute mchawi nd rais , hii yote ni watu kuajiriana kindugu / kirafiki/kikabila /kidini na kujuana bila kujali uwezo na ujuzi wa anayeajiriwa, hao wote inaonyesha hawajui wanachikifanya katika kazi zao
ReplyDeleteJamani, Mbona hawa watu wanafanya upuuzi sana bandarini? Wanafanya kazi kana kwamba ni watoto/wajinga. Systems zao hazifanyi kazi. Ni rahisi sana kwa watu kuiba au kupitisha chochote bila wao hata kujua chochote.
ReplyDeleteHii kali. Kweli kuna mwendo.
ReplyDeleteMsemaji hapo juu umesema kweli
Hongera Mheshimiwa Rais. Kila Mfanyakazi lazima awe na Mafunzo halali na uajiri ufuate uwezo wa utendaji kutokana na Elimu Husika. Kwa vile kuna Wenye vyeti halali ila hawana uwezo wa kufanya kazi kivitendo.
ReplyDeleteduhhh kazi kweli kweli, nahisi hapo mjibu maswali alikuwa anatetemekea miguu..hadi mdomo
ReplyDelete