Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Paul Makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu kuendelea kuwatoa wapamgaji wenye madeni sugu kwenye nyumba ya shirika hilo wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu kuendelea kuwatoa wapamgaji wenye madeni sugu kwenye nyumba ya shirika hilo wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyekiti wa waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota Bw. George Abdi wakati alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
Kiongozi wa wakazi wa nyumba za Magomeni Kota Bi Mwajuma Sama akiongea machache na kuomba dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea na kuongea na wakaazi hao wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016.
PICHA NA IKULU.
Mradi wa kuwekeza katika kujenga nyumba za kisasa katika miji yetu ili tuishi maisha yenye staha, ni mizuri kabisa na ya kuungwa mkono. Mradi wa kuongeza mabweni Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam nao unaleta matumaini ya kupunguza kusomea off campus katika mazingira magumu ya kusomea. Utumiaji wa wataalamu wa ndani na vijana wetu katika miradi hii ya maendeleo ni jambo zuri la kuongeza ajira, na kushirikisha wananchi katika ujenzi na kipato kinachoweza kuchangia maendeleo mengine nchini. Shirika la nyumba likusanye kodi ya pango ili kujiendesha na kupata mtaji wa kuboresha makazi nchini.
ReplyDeleteVipi kuhusu kanuni za free fair trade.
ReplyDeleteSala ya makonda iko inclusive kwa hadhira yote. Haikumpedelea mkristo kwa kuweka maneno ya kikristo japo yeye ni mkristo, hivo kukaribisha waislam. Na pia haikuweka maneno ya kiislamu hivo kukaribisha wakristo. Huu ndo mfano mzuri wa viongozi wa serikali walioahidi kutobagua dini ya mtu. Niamini nimeona viongozi wanafanya maombi ya jumla halafu watumia sala za dini zao. Hii ni nchi ya kisekyula.
ReplyDelete