Kamanda
Mohamed Mpinga akipokea Chupa ya Shampeni kutoka kwa Makamu Mwenyekiti
wa RSA -Arusha Bw. Bakari Msangi katika hafla ya Siku ya kuzaliwa
kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika
katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
Katibu wa RSA - Arusha Bw. Gadiola Emanuel akigonga Cheers na Kamanda
Mohamed Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa
kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika
katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...