Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa
Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (kushoto) kuhusu hali ya
upatikanaji wa umeme kwenye makao makuu ya nchi Dodoma wakati
alipotembelea Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016.
Wengine Pichani kutoka kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama, Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Mkuu wa
Wilaya ya Dodoma , Christina Mndeme.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa TANESCO wa
mkoa wa Dodoma, Mhandisi Zakayo Temu (katikati) wakati alipotembelea
Kituo cha Umeme cha TANESCO cha Dodoma Oktoba 2, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...