Vijana wakiwa katika kikao kidogo cha kuhitimisha kazi
Kijana mzalendo Petro Mgoti (suruali ya njano) akisema machache. Yeye alikuwa katika ziara ya mafunzo ya wiki sita nchini Ujerumani, na aliporejea nyumbani alienda moja kwa moja kujiunga na wenzie huko Mkuranga.
Baada ya kazi nzito Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Filbert Sanga akijiunga kupata msosi na vijana hao wasomi 53 baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani
Vijana hao wasomi 53 wakipata msosi baada ya kukamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani.
Uzalendo mbele - Hadi raha.
ReplyDeleteTunawashukuru sana hawa vijana kwa kujitolea na kuonyesha mfano mzuiri.
Tukipata vijana kama hawa kila wilaya, Tanzania itakua katika hatua nyingine kimaendeleo miaka mitano mpaka kumi ijayo.
Kwakweli tumethubutu Na tumeweza, njooni tuijenge Tanzania
ReplyDelete