Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania , Hassan Saleh  akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa kamapuni hiyo  Mlimani City jijini , wakati  wakijiandaa kuelekea sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.
 Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, akiongea na waandishi wa habari, kuhusiana na wafnayakzai wa kampuni hiyo kwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.
 Mkazi wa Tandika jijini Dar es Salaam, Masoud Juma akiunganishwa  katika huduma ya M-Pawa na  Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare,  wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda  sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani  kwa ajili ya kutoa  elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani. 
 Meneja  Huduma wa Vodacom Tanzania,Dia Mussana (kulia)akimuanganishia  Mohamed Zuber anayefanya baiashara ya Urembo katika soko la Tandika jijini Dar es Salaam, wakati  wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda  sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani  kwa ajili ya kutoa  elimu ya huduma ya M-pawa  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...