Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Shindano ya Miss
Tanzania 2016 walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae
kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 na
wadau wa Mashindano ya urembo nchini walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya
urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akishiriki kupanda miti wakati
alipokutana na kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika
zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...