KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Mkurugenzi
wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya mafunzo katika
Chuo Cha Viongozi waandamizi cha Chama Cha Kikomunisti cha China, Jia Bo
(Wakwanza kushoto), alipokutana naye na kufanya mazungumzo katika
Ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salam. Bo na ujumbe wake wapo katika ziara ya mafunzo kwa
mwaliko wa Chama Cha Mapinduzi. Wapili ni Kaimu Balozi wa China hapa
Nchini, Gou hao Domg. Na walioketi kulia, ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Dar es Salaam, Ramadhan Madabida na Katibu wa NEC, Sisa na Ushorikiano
wa Kimataifa, Dk. Pindi Chama. (Picha na Bashir Nkoromo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...