Mke wa rais ya awamu ya
tatu Mama Anna Mkapa (katikati) leo ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Order of the Smile baada ya serikli ya Poland inayotoa tuzo hiyo inayotambulika Umoja wa Mataifa kutambua mchango wake
katika kuwajali na kulea watoto.
Mama mkapa amekabidhiwa
tuzo hiyo na Waziri wa Haki za watoto wa Poland Father Andrew jijini dar es salaam na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Mh. Sihaba Nkinga na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe
Sophia Mjema.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...