Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivi lile suala la vyeti linahusu pia ununuzi wa vyeti kutoka vyuo vya uchochoroni?
ReplyDeleteWatu wananunua vyeti vya dili kwenye vyuo vya dili huko USA. JPM inabdid aangalie pia. Kwa waliohitimu vyuo vya TZ tunajua vyo vyetu vina accreditation. Watu wanakwepa wanenda vyuo vya nje visivyokuwa na accreditation huko, wanatoa hela, wanapata vyeti halafu wanatwambia "mi nimesoma mpaka USA" kumbe kile chuo cha dili.
ReplyDelete