Sheikh Shariff Majini anawatangazia akina mama wote kuwa anaendelea na DUA kila siku kasoro siku ya IJUMAA na Dua ya pamoja ya watu wote ni kila Jumapili kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana. nyumbani kwake Mabibo Mwisho. Sheikh anawakaribisha sana kwa ajili ya kupata DUA ambayo ni silaha tosha kwa kila mwanadamu. Dua ni bure kabisa.
Kwa mawasiliano ya Sheikh piga 0715-581552
Sheikh Shariff Majini akiukaribisha uongozi wa mkoa wa BAKWATA
Kinama waliojitokeza kupata mawaidha na DUA toka kwa Sheikh Shariff Majini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...