
HABARI ZIWAFIKIE:
1. FAMILIA YA MAREHEMU WALIOKO KIJIJI CHA KIBAONI, WILAYA YA MLELE MKOANI KATAVI NA WALE WALIOKO NJE YA MKOA HUO.
2. NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI MBALIMBALI POPOTE PALE WALIPO.
3. VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI, CHAMA TAWALA NA VYAMA VINGINE VYA SIASA.
TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NYUMBANI KWAKE, ZUZU MKOANI DODOMA.
TAARIFA ZAIDI ZITATOLEWA BAADAYE.
Mkuu Mzee Mizengo Pole sana kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na baba mzazi Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi,
ReplyDeleteAmin
wadau
Ngoma Africa band
Ujerumani