Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa
katika wodi ya Sewahaji Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Kwa
taarifa zilizopo hali ya Mhe. Shigela Anaendelea vizuri.Picha na Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POle Mh. Upone haraka
ReplyDelete