Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya uliofahamika kwa jina la 'Give It To Me' usiku huu. Kulia ni Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Hafla hii imefanyika usiku huu katika bustani ya Nyumba ya Mbunge huyo, Kawe jijini Dar.
Mbunge Jimbo la Chalinze na Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ridhiwani Kikwete akizungumza machache ikiwemo na kumpongeza msanii huyo,katika hafla ya uzinduzi wa Video yake ya wimbo mpya uliofahamika kwa jina la 'Give It To Me' Jijini Dar es salaam leo.
Baadhi ya Wasanii mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo wakimpongeza msanii mwenzao Belle 9
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...