Wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jiwani wakiwa wamefurika kwa wingi katikati ya Mtaa wa Congo, Kariakoo katika harakati ya kupata mahitaji
mbalimbali kwa maandalizi ya sikukuu za Krismas na Mwaka mpya, hali hii
imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika
wakati wa kukaribia sikukuu. picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Wakinamama wakiewa katika zoezi la kusagula sagula viwalo mbalimbali vya kutokea sikukuu.


Pilika pilika za hapa na pale.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...