Askofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA), Ndg.Mark Malekana akizungumza na wananchi wa Gambosi(hawapo pichani) wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Gambosi iliyofanyika jana katika kijiji cha Gambosi wilayani Bariadi.
Mkuu wa wilaya ya Bariadi, Mhe.Festo Kiswaga akizungumza na wananchi wa Gambosi (hawapo pichani) wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Gambosi iliyofanyika jana katika kijiji cha Gambosi wilayani Bariadi.
Kutoka kulia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Askofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) wakiwa na viongozi wengine wakati walipotembelea eneo la ujenzi wa Shule ya Sekondari Gambosi kabla ya kufanya harambee ya ujenzi wa shule hiyo kijijini Gambosi (Bariadi).
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Gambosi wakienda kuchangia wakati wa Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Gambosi iliyofanyika jana katika kijijini hapo. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...