Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Mwaalim Suleiman Urassa, akizungumza wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuhu Jabir, akitoa taarifa ya shule hiyo, wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Issa Othman, akitoa hotuba yake, wakati wa mahafali hayo hivi karibuni.
Mhitimu Zuhura Abdallah wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Wahitimu wa Ualimu na wa Kidato cha Nne wakiingia kwenye viwanja vya mahafali hayo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...