Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano),
Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza wakati alipokuwa akiufunga mkutano
wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, jijini
Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa baraza hilo, Kaimu
Postamasta Mkuu wa shirika, Fortunatus Kapinga na kushoto ni Kaimu
Meneja Biashara wa shirika, Janeth Msofe. Kwa sasa Profesa Kamuzora
amehamishiwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.
Baadhi ya Wajumbe
wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta
Tanzania, wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa mkutano huo, aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano),
Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam
jana.
Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujnzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano),
Profesa Faustin Kamuzora, akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 24 wa
Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, wakati alipokuwa
akiufunga jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa baraza
hilo, Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika, Fortunatus Kapinga, kushoto ni
Meneja rasilimali wetu wa shirika, William Makumba na wapili kushoto ni
Kaimu Meneja Biashara wa shirika, Janeth Msofe.
Baadhi ya Wajumbe
wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Posta
Tanzania, walipo kuwa wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufungaji wa
mkutano huo, aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano),
Profesa Faustin Kamuzora, wakati akizungumza nao, jijini Dar es Salaam
jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...