Zawadi za Noeli kwa watoto wa Kituo cha Watoto cha Mama wa Rehema - Madale jijini Dar es salaam zikushushwa katika gari kabla ya kukabidhiwa
![]() |
John Bernard, kulia, akikabidhi zawadi za watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema kwa walezi, masista wanaosimamia kituo. |
Sehemu ya watoto wanaotunzwa katika Kituo cha Mama wa Rehema Madale
Kina mama waliotembelea watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema-Madale wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto wakati wa sikuku ya Noeli.
mmoja wa walezi wa watoto Sista Ishengoma akishukuru na kutoa neno mara baada ya kupokea zawadi ya Noeli kwa niaba ya watoto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...