Peter Manyika.

Na Zainab Nyamka, 
Globu ya Jamii
Baada ya kukalia benchi kwa kipindi kirefu bila kudaka hatimaye benchi la ufundi la timu ya Simba limeamua kumuamini na kumpatia nafasi golikipa kijana Peter Manyika aliyewika msimu wa 2014/2015 na timu hyo.
Hii inakuwa ni mechi yake ya kwanza toka kusajiliwa kwa golikipa Vicent Angban aliyedaka nusu msimu wa 2015/2016 aliyebwagiwa manyanga  na nafasi yake kuchukuliwa na m-Ghana Daniel Aggey

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...