Simu.tv: Waziri wa kilimo Dkt Charles Tizeba amesema Tanzania haina shida ya chakula wala njaa kama inavyoelezwa na baadhi ya watu; https://youtu.be/GJ5cbTSEBu4
Simu.tv: Baada ya kuenea kwa taarifa za kuibuka kwa baa la njaa nchini, hii hapa ndio hali ya upatikanaji wa chakula mkoani Mbeya; https://youtu.be/ldf32b3YIxo
Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi amesema mkoa huo hauna tatizo la chakula na kuwataka wananchi kutunza chakula kilichopo; https://youtu.be/c4aGbU82Ghw
Simu.tv: Rais Dkt John Magufuli amefanya uteuzi wa wabunge wawili wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na balozi mmoja; https://youtu.be/dM8ynF2ixpc
Simu.tv: Waziri wa habari Nape Nnauye ametembelea shirika la utangazaji TBC na kuwataka watangazaji kulitumikia taifa kwa uzalendo; https://youtu.be/74B-bJ2ebxE
Simu.tv: Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa amezuiliwa na jeshi la polisi mkoani Geita kutokana na sababu za kiusalama; https://youtu.be/bAX7U5NAG1w
Simu.tv: Mpango wa kuendeleza kilimo kwa ukanda wa kusini umewawezesha wakulima wa viazi mkoani Njombe baada ya kupatiwa mbegu bora; https://youtu.be/Gq87HzGIF3g
Simu.tv: Wafanyabiashara nchini wameliomba shirika la viwango TBS kuongeza kasi ya ukaguzi bidhaa ili kuendana na kasi ya kibiashara na ushindani; https://youtu.be/VXk8CqqiuZM
Simu.tv: Fahamu maendeleo na tathimini ya ukuaji wa soko la hisa jijini Dar Es salaam DSE kwa wiki iliyopita; https://youtu.be/96hzPscpYlk
Simu.tv: Shirikisho la soka nchini TFF limesema linaziangalia kwa umakini mkubwa mechi za timu kubwa ili kuhakikisha kila timu inapata matokeo halali; https://youtu.be/Ec_-VPRM1n4
Simu.tv: Kunako michuano ya soka barani Afrika AFCON tumekukusanyia hapa matokeo ya michezo iliyopigwa hapo jana na siku ya leo; https://youtu.be/Z8uQNei_-9U
Simu.tv: Fani ya urembo na mapambo imetajwa kuwa ni fani mojawapo inayoweza kuwapatia ajira vijana wengi nchini Tanzania; https://youtu.be/pMd-5IUo4ns
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...