Tanzalaizer ni msanii mpya Mmasai anayefanya staili ya Muziki wa kisasa.
Huu ni wimbo wake wa kwanza unaoitwa KAJIPU aliorekodi katika studio za MJ RECORDS,
ukiwa umetengenezwa na Daxo Chali na Video ikifanywa na DEO ABEL.
KAJIPU ni wimbo ulio katika mahadhi ya "Afro-pop, house music na kwaito" wenye ujumbe
wa utumbuaji majipu.(utatuzi wa matatizo)
Home
Unlabelled
INTRODUCING NEW CLUB BANGER - KAJIPU - FROM MJ RECORDS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...