Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo
la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa
Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, jana Januari 5, 2017. (Picha
na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa
kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenez, Humphrey Polepole, akisalimia
wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,
katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge
Jimbo la Dimani, Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisalimia wananchi
alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika
mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo
la Dimani, Zanzibar. (Picha na Bashir Nkoromo).
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM
za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...