Asalaam Aleykum. 
Kwa niaba ya familia ya Marehemu baba yetu mpenzi, Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Tunapenda kuwatangazia kisomo cha Hitma ya baba yetu kitakachofanyika siku ya JUMAPILI January 15, 2017.

Alhaji Professor Idris Ali Mtulia aliyefariki dunia ghafla siku ya Jumatatu Desemba 5, 2016 Nyumbani Kwake Upanga, Dar-es-salaam Na kuzikwa Jumanne Desemba 06, katika makaburi ya Kisutu, Dar-es-salaam.
Nyote mnakaribishwa.
Anuani: Indian Spring Terrace Local park
9717 Lawndale Drive
Silver Spring, Md 20901
Muda: 12 jioni - 4 usiku

Kama ilivyo mila Na desturi yetu Wana DMV tunaomba ushirikiano wenu. Kina mama msaada wa vyakula Na kina baba vinywaji, tafadhali wasiliana Na hawa wafuatao Katika maandalizi ya shughuli hii..
Iddi Sandaly (301) 613-5165
Mohamed Matope 301-655-0409
Saidi Mchumo (850) 339 6783
Asha Nyang'anyi (301) 793-2833
Jasmine Rubama (410) 371-9966
Mwasi Marijani (301) 256-8902
Joha Nyang'anyi (240) 813-5563
Dr. Rukia Marijani (850) 980-6633
Tunatanguliza Shukrani..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...