Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na mama yake Mrs Zeinab Dau na baba yake mdogo Abdul Dau akifurahia baada ya kutunukiwa nondozzz ya MSc Biotechnology kutoka Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza leo.
![]() |
Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na Profesa wake baada ya kutunukiwa shahada ya MSc Biotechnology Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza |
Mdau Luqman Ramadhani Dau akiwa na mmoja wa wahitimu wenzie baada ya kutunukiwa shahada ya MSc Biotechnology Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza
Mdau Luqman Ramadhani Dau akifurahia nondozzzzz yake akiwa na mama yake Mrs Zeinab Dau
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...