Kiongozi wa bendi ya Ngoma Africa a.k.a FFU UGHAIBUNI ya nchini
Ujerumani,Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo
ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na
kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto.
Kamanda wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule nchini
Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Ras Makunja mapema leo
ametembelea ofisi ya Michuzi Media Group jijini Dar es Salaam na
kukutana na Ankal Issa Michuzi pichani kulia pamoja na Ahmad Michuzi (Michuzi Jr) kushoto, pamoja na Cathbeth Kajuna
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...