| ||||
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura wa tatu kushoto na viongozi mbali mbali wakiongozwa kufanya mazoezi na Dc Iringa Richard Kasesela,wa kwanza kushoto ni mkuu wa mkoa Iringa Amina Masenza, mbunge wa viti wa maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ,mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto na katibu tawala mkoa wa Iringa Wamoja Ayub. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
MHE. WAMBURA AONGOZA MAZOEZI UWANJA WA SAMORA IRINGA ASUBUHI YA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...